Maharusi wa Thehabari Jumamosi hii

Bi. Harusi Haika Temu (katikati) akila kiapo cha kumpokea mumewe, Bw. Plasduce Mbosa wakati wa ibada ya ndoa yao inayofanyika muda huu katika Kanisa Katoliki la St. Josef lililopo katikati ya jiji la Dar es Salaam

Maharusi wakiwa kanisani

Maharusi Plasduce Mbosa na mkewe Haika wakiwa na wasimamizi wao kanisani

Wapambe wa Plasduce Mbosa wakiwa kanisani

Picha ya pamoja baada ya ibada na maharusi Plasduce Mbosa na mkewe Haika nje ya Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Dar es Salaam.