Magufuli Apokelewa kwa Nderemo Kisarawe na Ukonga

 Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk. John Magufuli akionyesha picha aliyochorwa

 Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk. John Magufuli akionyesha picha aliyochorwa

 Wananchi wa Jimbo la Kisarawe, mkoani Pwani wakishangilia hotuba ya Dk Magufuli  wakati wa mkutano wa kampeni mjini Kisarawe leo. Picha zote na Cathbert Kajuna wa Kajunason Blog.

Dk Magufuli akimnadi mgombea ubunge Jimbo la Kisarawe, Seleman Javo wakati wa mkutano wa kampeni mjini Kisarawe leo.

 Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk. John Magufuli akiwanadi wagombea wa viti maalum wa Kisarawe.

 Wakazi wa Mombasa, Ukonga, Dar es Salaam wakiuzuia msafara wa Dk Magufuli ulipokuwa ukitoka Kisarawe kwenda eneo Moshi Bar kuendelea na kampeni.

 Shamra shamra za kumpokea Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk. John Magufuli mapema leo, wakati akielekea Ukonga katika barabara ya Moshi – Bar.

 Msafara wa Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk. John Magufuli ukipokelewa kwa nderemo na vifijo.

 Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk. John Magufuli akiingia Ukonga katika mkutano wake wa kuomba kura.

 Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam, Ndg. Ramadhan Madabida  akimnadi Dk. Magufuli kwa wakazi wa Ukonga.

 

 Umati wa watu waliohudhuria mkutano huo.


Kila mmoja akitaka kumuona mgombea.

Dk. Magufuli akitoa ahadi ya ujenzi wa Barabara ya Mombasa hadi Moshi Baa kwa kiwango cha Lami.

 Mmoja ya wafuasi wa CCM akisiliza sera za mgombea Urais wa Tanzania, Dk. John Magufuli huku akiwa amebeba mboga mboga zake.

 
Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk. John Magufuli akinyooshewa vidole gumba na wakazi wa Jimbo la Ukonga ikiwa ni ishara ya kukubali kumpigia kura ya ndiyo , wakati wa mkutano wa kampeni eneo la Moshi Bar, Ukonga Dar es Salaam.

Dk. Magufuli akimnadi Mgombea ubunge Jimbo la Ukonga kupitia CCM, Jerry Silaa wakati wa mkutano wa kampeni jimboni humo leo.

Dk. Magufuli akiwanadi wagombea wa viti maalum wa Jimbo la Ukonga kupitia CCM wakati wa mkutano wa kampeni jimboni humo leo.