Madiwani 24 wa Halmashauri ya Wilaya ya Meru wakiwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha wakisubiri kusomewa shitaka la kuharibu uzio wa eneo la Indumi Makere uzio wenye thamani ya shilingi milioni 7 .Kufuatia mgogoro juu ya umiliki wa shamba hilo lililokua likimilikiwa na halmashauri,Kesi ya madiwani hao itatajwa tena Juni 28 mwaka huu.
Madiwani 24 wa Halmashauri ya Wilaya ya Meru wakiwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha wakisubiri kusomewa shitaka la kuharibu uzio wa eneo la Indumi Makere uzio wenye thamani ya shilingi milioni 7 .Kufuatia mgogoro juu ya umiliki wa shamba hilo lililokua likimilikiwa na halmashauri,Kesi ya madiwani hao itatajwa tena Juni 28 mwaka huu
Madiwani 24 wa Halmashauri ya Wilaya ya Meru wakiwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha wakisubiri kusomewa shitaka la kuharibu uzio wa eneo la Indumi Makere uzio wenye thamani ya shilingi milioni 7 .Kufuatia mgogoro juu ya umiliki wa shamba hilo lililokua likimilikiwa na halmashauri,Kesi ya madiwani hao itatajwa tena Juni 28 mwaka huu.
Mwenyekiti wa Halmashauri ya Meru Willy Njau akisalimiana na Viongozi na wananchi waliofika katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha ambapo madiwani 24 walisomewa shitaka la kuharibu uzio wa eneo la Indumi Makere uzio wenye thamani ya shilingi milioni 7 .Kufuatia mgogoro juu ya umiliki wa shamba hilo lililokua likimilikiwa na halmashauri,Kesi ya madiwani hao itatajwa tena Juni 28 mwaka huu.
Picha Zote na Ferdinand Shayo