Rais mstaafu wa Awamu ya Nne, Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia mkutano wa madaktari wa Afrika kabla ya kufungua mkutano wao wa siku mbili unaofanyika jijini Dar es Salaam, kujadili masuala mbalimbali ya afya katika nchi za Afrika.
Rais mstaafu wa Awamu ya Nne, Jakaya Mrisho Kikwete (kulia) akihutubia mkutano wa madaktari wa Afrika kabla ya kufungua mkutano wao wa siku mbili unaofanyika jijini Dar es Salaam, kujadili masuala mbalimbali ya afya katika nchi za Afrika.
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Bi. Ummy Mwalimu akizungumza kwenye mkutano wa Madaktari wa Afrika kabla ya kumkaribisha mgeni rasmi katika mkutano huo, Rais mstaafu wa Awamu ya Nne, Jakaya Mrisho Kikwete.
Mkurugenzi Mkuu wa Banki ya NMB, Bi. Ineke Bussemaker akiwasilisha mada kwenye mkutano wa Madaktari wa Afrika kuelezea nmna benki hiyo inavyoshirikiana hospitali mbalimbali katika kuwezesha upatikanaji wa vifaa tiba katika hospitali hizo. Mkutano huo wa siku mbili unaofanyika jijini Dar es Salaam, kujadili masuala mbalimbali ya afya katika nchi za Afrika. NMB ilidhamini mkutano huo.
Mgeni rasmi KIkwete akitembelea banda la wawakilishi wa kampuni ya Philips wauzaji vifaa tiba vinavyotengenezwa na kampuni hiyo.
Mgeni rasmi KIkwete akitembelea banda la wawakilishi wa kampuni ya Philips wauzaji vifaa tiba vinavyotengenezwa na kampuni hiyo.
Baadhi ya madaktari na washiriki wengine kwenye mkutano wa Madaktari wa Afrika wakifuatilia matukio anuai ya mkutano huo.
Baadhi ya wawasilishaji wa mada kwenye mkutano wa Madaktari wa Afrika wakiwasilisha mada kwa washiriki wa mkutano huo.
Baadhi ya madaktari na washiriki wengine kwenye mkutano wa Madaktari wa Afrika wakifuatilia matukio anuai ya mkutano huo.
Baadhi ya madaktari na washiriki wengine kwenye mkutano wa Madaktari wa Afrika wakifuatilia matukio anuai ya mkutano huo.
Baadhi ya madaktari na washiriki wengine kwenye mkutano wa Madaktari wa Afrika wakifuatilia matukio anuai ya mkutano huo.
Meza kuu kwenye mkutano wa Madaktari wa Afrika ikifuatilia matukio anuai.