Machinga Complex Yawaka Moto Dar….!

Moto

Moto

Picha mbalimbali likionesha jengo la biashara la Machinga Complex likiwaka moto leo.

Gari la kikosi cha zimamoto likiwasili kusaidia kuzima moto huo.

SOKO maharufu la kisasa la wafanyabiashara ndogondogo Machinga Complex lililopo jijini Dar es Salaam limewaka moto kwa baadhi ya maduka na kuteketeza baadhi ya mali za wafanyabiashara.

Akizungumzia tukio hilo Kamanda wa Polisi Mkoa wa Ilala, RPC M. Minangi alisema taarifa za awali zinaonesha chanzo cha moto huo ni fundi aliyekuwa akichomea moja ya mageti ya maduka kusababisha moto ambao umeunguza vizimba 3 vya biashara (maduka). Taarifa zaidi hapo baadaye….!