Mabondia Walivyochapana Ngumi Kibaha

Bondia Zumba Kukwe kushoto akioneshana umwamba na bondia Sweet Kalulu wakati wa mpambano wao uliofanyika Kibaha Mkoa wa Pwani mpambano huo ulimalizika kwa sare.

Bondia Shedrack Ignas kushoto akipambana na Fred Masinde wakati wa mpambano wao uliofanyika Kibaha mkoa wa Pwani, katika pambano hilo Ignas alishinda kwa K,O ya raundi ya tatu.

Bondia Mustafa Dotto akipimana uwezo wa kutupiana makonde na Ramadhani Max wakati wa mpambano wao uliofanyika Kibaha Mkoa wa Pwani mwishoni mwa wiki iliyopita, bondia Dotto alishinda kwa K,O ya raundi ya tatu.

Bondia Rajabu Omari kushoto akichapana makonde na Herman Shekivuli wakati wa mpambano wao uliofanyika Kibaha Mkoa wa Pwani, Shekifuli alishinda kwa K,O ya raundi ya kwanza.