MABONDIA patrick kimweri na ramadhani mbwana wakioneshana ufundi wa kutupiana masumbwi wakati wa mpambano wa kumkumbuka na kumchangia bondia Magoma Shabani Aliefariki Dunia
Bondia Ramadhani Mbwana kushoto akipambana na Patrick Kimweri wakati wa mchezo wa masumbwi yaliyofanyika Tanga kwa ajili ya kumuenzi na kumchangia bondia Marehemu Magoma Shabani aliefariki Dunia Kimweri alishinda mchezo huo kwa point
Bondia mkokwe wa siku nyingi Chales Muhilu ‘Spins’ ambaye kwa sasa ni Kocha wa Mkoa wa Tanga akifatilia mashindano hayo jana
mashabiki wa mchezo wa masumbwi wakifuatilia pambano hilo