Bondia Ramadhani Shauri (akisaini kushoto) na Cosmas Cheka (akisaini kulia) mkataba wa kucheza ubingwa wa UBO utakaofanyika Oktoba 27 jijini Dar es Salaam, bondia Cosmas Cheka ni wa Morogoro wengini ni Promota Kaike Silaju na Makamu Mwenyekiti wa PST, Aga Peter. (Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com)