Mabondia Mwalimu Alon na Iddy Mnyeke Walivyochapana

Mabondia Mwalimu Alon kushoto na Iddy Mnyeke wakioneshana uwezo wa kutupiana
makonde wakati wa mpambano wao wa kirafiki uliofanyika Manzese jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.

Bondia Lucas Mkenya kushoto akipambana na Adamu Yahaya wakati wa mpambanbo wao wa upingwa wa Taifa uliofanyika mwishoni mwa wiki.

Mabondia Mwalimu Alon akitangazwa mshindi baada ya mpambano huo. Picha zoyte na Super D Blog