Bondia wa Timu ya Mkoa wa Ilala kimichezo, Hussein Khasim akipima uzito kwa ajili ya mashindano ya taifa wa mchezo wa masumbwi yaliyoanza leo katika uwanja wa ndani wa taifa katikati ni mwalimu msaidizi wa timu hiyo Juma Mwalimu.
Bondia wa Timu ya Mkoa wa Ilala Kimichezo Shabani Kaoneka akipima uzito kwa ajili ya mashindano ya taifa wa mchezo wa masumbwi yaliyoanza katika uwanja wa ndani wa taifa katikati ni mwalimu msaidizi wa timu hiyo Juma Mwalimu. Picha zote na Super D blogu.