MABOMU GONGO LA MBOTO: WATU 200 WAJERUHIWA,20 WAPOTEZA MAISHA

Katika hali isiyo ya kawaida usiku wa tarehe 16 mida ya saa mbili na dakika ishirini ulianza kusika milio ya mabomu kutoka katika gara la siraha lililopo katika kambi ya
jeshi ya gongo la mboto,aidha yapata zaidi ya watu 20 kupoza maisha ikiwa zaidi ya watu 200 wamejeruhiwa na mabumu na wengine wameumia wakati wakijinusur na mkasa huo.

Hili ni moja ya bolilikutwa limelipuka jana usiku

watu kadhaa waliojeruhiwa na mabomu wakipata msaada toka kwa askari na waugzi