Maadhimisho ya Women’s Celebration 2013

Women’s Celebration, Diamond Jubilee V. I. P hall

 

                                                    Maonesho ya mavazi ya Vitenge

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

Vazi la kitenge ndio vazi lililotawala kwa asilimia 90% siku ya Women’s Celebration, mavazi hayo yalioshonwa kwa mitindo aina mbali mbali yaliwapendeza sana wageni waliohudhuria shughuli hiyo pale Diomond Jubilee, V.I.P Hall, march 3,2013.

MITINDO YA NYWELE

 

 

 

 
 

Masuala ya Nywele nayo hayakuwa nyuma katika shughuli hiyo ya Women’s Celebration, Diamond Jubilee V. I. P hall, March 3, 2013. Picha zimepigwa na Adam H. Mzee pamoja na John Photo.