Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dk. Hussein Ali Mwinyi akikagua gwaride pamoja na viongozi wengine walioshiriki katika sherehe za maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Askari walinda Amani wa Umoja wa Mataifa yaliyofanyika katika bustani ya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam.
Mkuu wa Shirika la Chakula Duniani (WFP) na Mwakilishi wa UN Tanzania, Michael Dunford (kulia) akisalimiana na Meja Generali wa Jeshi la Wananchi Tanzania, Sharif Sheikh Othman kwenye maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Askari walinda Amani wa Umoja wa Mataifa yaliyofanyika katika bustani ya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam..
Baadhi ya askari walioshiriki katika gwaride la maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Askari walinda Amani wa Umoja wa Mataifa yaliyofanyika katika bustani ya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam wakiwa kwenye shughuli hiyo.
Baadhi ya askari walioshiriki katika gwaride la maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Askari walinda Amani wa Umoja wa Mataifa yaliyofanyika katika bustani ya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam wakiwa kwenye shughuli hiyo..
Mkuu wa Shirika la Chakula Duniani (WFP) na Mwakilishi wa UN Tanzania, Michael Dunford (kushoto) akiweka shada la maua kwa ishara ya kuwakumbuka mashujaa waliopoteza wakiwa kazini wakilinda Amani chini ya Umoja wa Mataifa.
Baadhi ya viongozi mbalimbali na wageni waalikwa wakiweka mashada kwenye mnara wa mashujaa kwenye maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Askari walinda Amani wa Umoja wa Mataifa yaliyofanyika katika bustani ya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam.
Kutoka kushoto ni Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dk. Hussein Ali Mwinyi, Meja Generali wa Jeshi la Wananchi Tanzania, Sharif Sheikh Othman na Mkuu wa Shirika la Chakula Duniani (WFP) na Mwakilishi wa UN Tanzania, Michael Dunford wakiwa katika sherehe za maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Askari walinda Amani wa Umoja wa Mataifa yaliyofanyika katika bustani ya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam.
Mkuu wa Shirika la Chakula Duniani (WFP) na Mwakilishi wa UN Tanzania, Michael Dunford (kushoto) akisalimiana na baadhi ya askari wa Tanzania ambao waliwai kushiriki oparesheni za ulinzi wa amani chini ya UN katika sherehe za maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Askari walinda Amani wa Umoja wa Mataifa zilizofanyika kwenye bustani ya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dk. Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akisalimiana na baadhi ya askari wa Tanzania ambao waliwai kushiriki oparesheni za ulinzi wa amani chini ya UN katika sherehe za maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Askari walinda Amani wa Umoja wa Mataifa zilizofanyika kwenye bustani ya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam.
Mkuu wa Shirika la Chakula Duniani (WFP) na Mwakilishi wa UN Tanzania, Michael Dunford (katikati) akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya sherehe za maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Askari walinda Amani wa Umoja wa Mataifa zilizofanyika kwenye bustani ya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam.
Burudani mba;limbali zikiendelea katika sherehe za maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Askari walinda Amani wa Umoja wa Mataifa yaliyofanyika katika bustani ya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam.
Matukio mbalimbali katika sherehe za maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Askari walinda Amani wa Umoja wa Mataifa yaliyofanyika katika bustani ya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam.