Maadhimisho ya Siku ya Familia kwa Wafanyakazi wa TBL Arusha…!

Mashindano ya Wanaume kukuna nazi katika Siku ya Familia ya Wafanyakazi wa TBL yaliwavutia wengi.

Mashindano ya Wanaume kukuna nazi katika Siku ya Familia ya Wafanyakazi wa TBL Mkoa wa Arusha yaliwavutia wengi.

 

Wanafamilia wakicheza mchezo kwa kukimbia wakiwa wamewabeba wenza wao ikiwa ni sehemu ya Familia ya wafanyakazi wa kiwanda cha Bia(TBL) mkoa wa Arusha.

 

Watoto wakichorwa michoro mbalimbali na mtaalamu wa (Face Paintings) ikiwa ni sehemu ya kuwafanya wafurahie siku ya leo

 

Watoto wa kiume wakitimua mbio mita 100 .

 

Hawa pia waliona wasiachwe nyuma

 

Mchezo wa Pool Table kwa wafanyakazi na wanafamilia

 

 

Watoto wakiwa wamejipumzisha.

 

 

Katika kujali afya za wafanyakazi na wanafamilia wao wataalamu wa afya kutoka AAR wakitoa elimu ya lishe bora.

 

Baadhi ya wafanyakazi wa TBL Arusha wakijadiliana jambo wakati wa siku ya familia

 

Mahamud Hassan akipokea kombe la ushindi katika mashindano ya kukuna Nazi kutoka kwa Ben Mwandry

 

Meneja wa Kiwanda cha TBL mkoa wa Arusha,Salva Rweyemamu(kushoto)akimpongeza kapteni wa timu ya Uzalishaji baada ya kuwabugiza timu ya Mauzo mabao 4-0

 

Afisa Rasilimali Watu wa TBL,Goodluck Kimaro akimkabidhi zawadi ya ushiriki bora wa mazoezi ya viungo mfanyakazi mwenzake Pili Masinde(kulia)

 

 

Chakula cha pamoja kilikuwepo katika kufanikisha siku ya leo ya wanafamilia wa TBL