Mkuu wa Mkoa Dodoma, Dk. Rehema Nchimbi (mwenye kilemba kichwani) akifanya ukaguzi wa vitabu na nyaraka za taarifa mbalimbali
kwa ajili ya wasomaji, pembeni yake ni Mkutubi msaidizi wa maktabaa hiyo, Judith Lugongo, ukaguzi huo ulifanyika wakati wa
maadhimisho ya miaka 50 ya bodi ya huduma za maktaba mkoa wa Dodoma.

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Dk. Rehema Nchimbi (mwenye kilemba kichwani) akikagua jengo la maktaba mkoa wa Dodoma kujionea
mfumo wa vifaa vinavyotumika kutolea elimu na taarifa mbalimbali kwa njia ya video na sauti, zoezi hili la ukaguzi lilifanyika
kwenye viwanja vya maktaba ya Dodoma wakati wa maadhimisho ya miaka 50 ya bodi ya huduma za maktaba.

Watumishi wa maktaba ya mkoa Dodoma wakiwa tayari kupokea wananchi wenye mahitaji mbalimbali ya huduma za maktaba kwa
ajili ya kuwapa maelekezo ya namna ya kupata taarifa na huduma nyingine mbalimbali wakati wa maadhimisho ya miaka 50 ya bodi ya
huduma za maktaba, maadhimisho mkoa Dodoma yalifanyika viwanja vya maktaba ya Dodoma.

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Dk. Rehema Nchimbi (mwenye kilemba kichwani) akipata ufafanuzi kutoka kwa mtaalamu wa kutafsiri
taarifa za vitabu na nyaraka mbalimbali katika lugha za watu wenye mahitaji maalumu/wenye ulemavu wa kuona (nukta nundu) Mwl. Charles Mtimatuku mapema wakati anatembelea mabanda ya maonesho wakati wa hafla ya maadhimisho ya miaka 50 ya bodi ya huduma za maktaba nchini mkoani Dodoma. Huduma za maktaba nchini zimepiga hatua kiasi cha kuzalisha taarifa na nyaraka mbalimbali kwa watu wenye mahitaji maalumu.

Baadhi ya walimu na wanafunzi shule za Dodoma waliojitokeza kwenye viwanja vya maktaba ya mkoa Dodoma kushiriki maadhimisho
ya miaka 50 ya bodi ya huduma za maktaba nchini wakifuatilia salamu za mkuu wa mkoa Dodoma.