Mtafiti wa Magonjwa mbalimbali Dk. Ahmed Kalebi akizungumza na madaktari na wauguzi wa Hosptali ya Rufaa ya Mkoa wa Kilimanjaro ya Mawenzi wakati wa warsha juu ya matumizi ya maabara ya kisasa iliyofunguliwa mjini Moshi kwa ajili ya kufanya vipimo vya magonjwa mbalimbali.
Baadhi ya Madaktari na wauguzi katika Hospitari ya Rufaa ya Mkoa wa Kilimanjaro ya Mawenzi wakifuatilia maelezo yaliyokuwa yakitolewa na Dk. Ahemd Kalebi wakati wa warsha hiyo iliyofanyika ukumbi wa mikutano wa ofisi ya Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro.
Dk. Ahmed Kalebi akisisitiza jambo wakati akizungumzia juu ya ufanyaji wa vipimo kwa magonjwa kama saratani na magonjwa mengine ambayo wagonjwa wengi wamekuwa na tabia ya kwenda kutafuta matibabu nje ya nchi.
Baadhi ya Madaktari na Wauguzi katika Hospitari ya Rufaa ya Mkoa wa Kilimanjaro ya Mawenzi wakiwa katika Warsha hiyo.
Mtafiti wa magonjwa mbalimbali, Dk. Ahmed Kalebi akizungumza na wanahabari kuhusiana na mada aliyowasilisha katika warsha hiyo. Picha na Dixon Busagaga Kilimanjaro.