
Waziri Mkuu mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli, Edward Lowassa akihutubia kwenye Mkutano wa Kampeni za CCM Jimbo la Arumeru Mashariki leo kwenye viwanja vya Kikatiti, wilayani Arumeru.

Mgombea Ubunge Jimbo la Arumeru Mashariki wa Tiketi ya CCM, Sioi Sumari akisalimiana na Mkuu wa Majeshi Mstaafu, Jenerali Mirisho Sarakikya.
BOFYA link hii hapo chini kuona na kusikiliza hotuba ya Lowassa;-