Wanainchi wakiangalia Lori baada ya kuungua
Mabaki ya Lori hilo bada ya kuteketea kabisa na moto.
Baadhi ya wasafiri wakitazama lori lililongua.
Bonde la mlima sekenke linavyoonekana na baadhi ya miti imeunguaa
Hii ni njia ya mlima sekenke
Lori la mafuta limeanguka jioni katika eneo la milima ya Sekenke mkoani Singida na kuua watu wanne papohapo. Inadaiwa chanzo cha ajali hiyo ni lori hilo kushindwa kufunga breki wakati lilipokuwa likishuka mlima huo. Shuhuda wa ajali hiyo aliyejitambulisha kwa jina la Julius Chacha akizungumza na mtandao huu alisema lori hilo lilipoacha njia lilipinduka na kuingia bondeni na kushika moto. Chanzo DJ Sek Blog.