Liverpool Yaangukia Pua Kwa Sevilla

i

Klabu ya Liverpool baada ya miaka mingi bila kuingia hatua ya fainali michuano ya Europa Ligi Leo Imeambulia kichapo cha bao 3-1 katika fainali dhidi ya Sevilla

Liverpool ndio walikua wa kwanza kupata bao kipindi cha kwanza kupitia kwa Sturridge dakika ya 35 kabla ya sevilla kusawazisha sekunde chache timu hizo zilipotoka mapumziko kupitia kwa Kevin Gameiro, kabla ya Coke kumalizia misumali ya mwisho dakika ya 64 na 70