
Mkurugenzi wa kampuni ya LG kwa upande wa Tanzania akizungumza na wageni waalikwa waliofika katika uzinduzi wa Kinyoyozi kipya aina ya MULTI-V 3, vinavyosambazwa na kampuni ya Alshaaf ambao ndiyo wakala pekee rasmi wa kusambaza na kufunga bidhaa za viyoyozi vya LG Tanzania. Uzinduzi huo ulifanyika Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam wiki iliyopita.

Msajili wa bodi ya wahandisi nchini engineer Steven Mlote akitoa machache katika uzinduzi huo. Ambapo aliwashukuru kampuni ya LG kwa kuleta teknolojia mpya ya viyoyozi aina ya MULTI-V 3 na vyenye ubora wa uhakika.