Leicester City Yabeba Ndoo Kwa Ushindi Mnono

1

Klabu ya Leicester City Imefanikiwa Kuibuka na ushindi wa Magoli 3 – 1 dhidi yaBaada ya kufaniki Everton na Kukabidhiwa Taji lao mara baada ya Ushindi huo, Mabao katika mchezo huo yamefungwa na Jamie Vardy dakika ya 5,65 kabla ya kukosa tena mkwaju wa penati dakika ya 72, wakati goli la pili lilifungwa na Andry King dakika ya 33, wakati lile la kufutia machozi kwa upande wa Everton likifungwa na Kevin Mirallas dakika ya 88

2

MATOKEO KAMILI YA LEO
Norwich City 0 1 Man U
Aston Villa 0 0 NewCastle
Bournemouth 1 1 West Brom
Crystal Palace 2 1 Stoke City
Sunderland 3 2 Chelsea
West Ham 1 4 Swansea
Leicester City 3 1 Eveton

msimamo