Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitumia laptop yake kuwaonesha viongozi mbalimbali wa Mkoa wa Singida wakati alipokuwa akiwaelezea masuala muhimu ya maendeleo nchini. Rais Kikwete amewasili Mjini Singida tangu Januari 5 kwa Ziara ya kikazi ya Siku Mbili. Picha na IKULU