![Jeshi 1](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2012/06/Jeshi-1.jpg)
Hili ni gari aina ya Jeep lililokuwa linatumiwa na jeshi la Uganda kwa ajili ya kufanyia doria.
![Jeshi 2](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2012/06/Jeshi-2.jpg)
Lango la kuingilia kwenye makaburi ya “Mashujaa wa vita vya Kagera”
![Jeshi 3](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2012/06/Jeshi-3.jpg)
Baadhi ya nyumba za kumbukumbu
![Jeshi 4](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2012/06/Jeshi-4.jpg)
Makaburi ya mashujaa wetu wa vita vya Kagera
![Jeshi 5](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2012/06/Jeshi-5.jpg)
Jengo la kumbukumbu
(Picha zote na Mpiga Picha Wetu, Kagera)