Kongamo la Kimataifa la Ustaarabu wa Kiislamu Afrika ya Mashariki

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk. Ali Mohamed Shein, (kulia) akikata utepe kama ishara ya uzinduzi wa
kulifungua Kongamano la Kimataifa la kuhusu historia ya ustaarabu wa
Kiislamu katika Afrika ya Mashariki, (wa pili kulia) Dk. Abdul
Muneium Al-Hasni, Waziri wa Habari wa Falme ya Oman, Dk. Emeleddin
Ihsan, Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Nchi za Kiislamu Duniani (OIC); na Dk.
Hamad Mohamed Al-Dhawiani, Mwenyekiti wa Mamlaka ya Kumbukumbu na Nyaraka ya Falme ya Oman,

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza wakati alipolifungua Kongamo la
Kimataifa kuhusu historia ya ustaarabu wa Kiislamu katika Afrika ya
Mashariki, litakalofanyika kwa muda siku tatu huko katika Ukumbi wa
Hoteli ya Lagema Mkoa wa Kaskazini Unguja.

Baadhi ya waalikwa katika Kongamo la Kimataifa kuhusu
historia ya ustaarabu wa Kiislamu katika Afrika ya Mashariki,
litakalofanyika kwa muda siku tatu huko katika Ukumbi wa Hoteli ya
Lagema Mkoa wa Kaskazini Unguja,wakifuatilia kwa makini mada
zilizotolewa katika Mjadala huo ulioanza

Baadhi ya waalikwa katika Kongamo la Kimataifa kuhusu
historia ya ustaarabu wa Kiislamu katika Afrika ya Mashariki,
litakalofanyika kwa muda siku tatu huko katika Ukumbi wa Hoteli ya
Lagema Mkoa wa Kaskazini Unguja,wakifuatilia kwa makini mada zilizotolewa katika Mjadala huo ulioanza.