Mkuu wa Mkoa wa Morogoro,Dk. Stephen Kebwe akizungumza na waandishi wa habari wakati wa kondamano la uwekezaji mijini Mrorogoro.
Mkurugenzi wa Benki ya CRDB Morogoro, Lusingi Sitta (katikati) akiwa na Meneja Masoko na Mawasiliano wa Mfuko wa LAPF, James Mlowe (kulia) katika mkutano wa Uwekezaji mjini Morogoro. Kushoto ni Meneja wa LAPF Kanda ya Mashariki, Sayi Lulyalya.
Mkurugenzi wa Huduma kwa Wanachama wa Mfuko wa Pensheni LAPF, Valeerian Mablangeti akitoa maelezo kwa watu waliofika katika kongamano la Uwekezaji mjini Morogoro.
Afisa Kumbukumbu wa Mfuko wa Pensheni wa LAPF, Florian Mbassa akimuhudumia mwanachama wa mfuko huo.
Ofisa Matekelezo wa Mfuko wa Pensheni wa LAPF, Nicholaus Johnson akitoa maelezo kuhusu mfuko wa LAPF kwa baada ya watu waliohudhuria kongamano la Uwekezaji lililofanyika mjini Morogoro.