Kongamano la Nane la Wanahabari na Wadau wa NHIF

Baadhi ya Wahariri wa vyombo mbalimbali vya habari wakiwa katika hafla hiyo, kutoka kushoto ni Mgaya Kingoba wa Habari Leo na wenzake.


12

Mkurugenzi Mtendaji wa Mfuko wa Bima ya Afya (NHIF), Emmanuel Humba akizungumza katika hafla iliyoandaliwa kwa ajili ya kujipongezana na kupata chakula cha jioni kwenye ukumbi wa Makonde mjini Mtwara,baada ya kumalizika kwa Kongamano la Nane la Wanahabari na Wadau wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF),lililomalizika jana kwenye Ukumbi wa Benjamin Mkapa uliopo ndani ya Chuo cha Ualimu Mkoani humo.

2Maofisa wa Mfuko wa Bima ya Afya (NHIF) kutoka kulia ni Grace Michael na Dr. Ahena Mramba Rose Gabriel wakiwa katika hafla hiyo.

4Mkurugenzi wa Tathmini na Uhai wa Mfuko na Takwimu NHIF , Bw. Michael Mhando akifurahia jambo na Grace Michael Ofisa Masoko wa mfuko huo wakati wa hafla hiyo kulia ni ni Angela Mziray

7Steven Mhina kulia akiwa na Angel Akilimali kushoto wote kutoka Radio Uhuru

8Wanahabari kutoka mikoa mbalimbali nchini wakiwa katika hafla ya NHIF

11Kutoka kulia ni Catherin Sungura kutoka Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii Grace Michael na Faraja Kihongole kutoka Chaenl Ten

14Hawa jamaa walikonga nyoyo za wanahabari kwa vichekesho vyao.

15Gladness Mboma wa pili kutoka kulia na wanahabari wenzake wakiwa kaatika hafla hiyo.

17Mkuu wa Wilaya ya Kalambo Mh. Moshi Chang’a akishukuru baada ya kupokea cheti chake kutokana na mchango wake wa NHIF katikati ni Mkurugenzi Mtendaji wa Mfuko wa Bima ya Afya (NHIF),Emmanuel Humba na kushoto ni Salome Manyama meneja wa tawi la NHIF makao makuu

16

Mkuu wa Wilaya ya Kalambo Mh. Moshi Chang’a akipokea cheti chake kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Mfuko wa Bima ya Afya (NHIF),Emmanuel Humba na kushoto ni Salome Manyama meneja wa tawi la NHIF makao makuu
18Hapa ikiwa ni burudani kwa kwenda mbele

20Wanahabari wakacheza kwaito kama wanavyoonekana.

21Mchora Katuni King Kinya akitoa burudani jukwaani huku mpiga gitaa Yahya Mkango aliyewahi kufanya kazi na bendi ya African Stars ya jijini Dar es salaam.