Kongamano Chama cha Wahandisi na Mafundi Sanifu wa Vifaa Tiba Oktoba 31

Mwenyekiti wa Chama cha Wahandisi na Mafundi Sanifu wa Vifaa Tiba (AMET) Valentino Mvanga (katikati) akiongea na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam kuhusu kongamano la wataalamu hao wa Afrika Mashariki linatotarajia kuanza katika Jiji la Dar es Salaam Jumatano ya Oktoba 31, 2012 katika Hotel ya Rombo Green View Hotel. Kulia ni Katibu wa AMETT Samwel Hhayuma na kushoto ni Mjumbe wa AMETT Nassor Abdallah. Picha na MAELEZO-Dar es Salam