Kocha Julio Ndani ya Coastal Union…!

Kocha Msaidizi wa Coastal Union,Jamhuri Kihwelu "Julio"akisisitiza jambo kwa viongozi wa timu hiyo juzi mara baada ya kumalizika mazoezi ya timu hiyo katika uwanja wa shule ya Sekondari Popatlaly.

Kocha Msaidizi wa Coastal Union,Jamhuri Kihwelu “Julio”akisisitiza jambo kwa viongozi wa timu hiyo juzi mara baada ya kumalizika mazoezi ya timu hiyo katika uwanja wa shule ya Sekondari Popatlaly.

Meneja wa Coastal Union, Akida Machai akizungumza jambo na Kocha Msaidizi wa Coastal Union, Jamhuri Kiwelu "Julio"juzi mara baada ya kumalizika mazoezi ya timu hiyo kwenye uwanja wa shule ya sekondari Popatlaly.

Meneja wa Coastal Union, Akida Machai akizungumza jambo na Kocha Msaidizi wa Coastal Union, Jamhuri Kiwelu “Julio”juzi mara baada ya kumalizika mazoezi ya timu hiyo kwenye uwanja wa shule ya sekondari Popatlaly.