King Class Mawe Amtwanga Cosmas Cheka

Bondia Ibrahimu Class 'King Class Mawe' akiwa na mikanda yake ya ubingwa wa Africa wa U.B.O na WPBF.

Bondia Ibrahimu Class ‘King Class Mawe’ akiwa na mikanda yake ya ubingwa wa Africa wa U.B.O na WPBF.

Bondia Ibrahimu Class 'King Class Mawe' kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Cosmas Cheka wakati wa kugombea ubingwa wa U.B.O Africa mpambano uliofanyika Jumamosi Class alinyakuwa ubingwa huo kwa kushinda kwa Point na sasa Class anashikilia mikanda miwili ya ubingwa wa Africa W.P.B.F na U.B.O Africa. Picha na SUPER D BOXING.

Bondia Ibrahimu Class ‘King Class Mawe’ kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Cosmas Cheka wakati wa kugombea ubingwa wa U.B.O Africa mpambano uliofanyika Jumamosi Class alinyakuwa ubingwa huo kwa kushinda kwa Point na sasa Class anashikilia mikanda miwili ya ubingwa wa Africa W.P.B.F na U.B.O Africa. Picha na SUPER D BOXING.