Wananchi wakishangilia huku wakionyesha kuunga mkono msimamo wa CCM wa kutaka mfumo wa serikali mbili katika katiba mpoya, wakati wa mkutano huo.
Mbunge katika Bunge la Katiba, Dk. Emmanuel Nchimbi akitoa ufafanuzi kwamba hata baadhi ya viongozi wa upinzani akiwemo Katibu Mkuu wa CUF Maalif Seiff Shariff Hamad wanajua hatari ya mfumo wa serikali tatu kwa taifa la Tanzania.
Kada mwingine ambaye pia ni Mbunge wa Mtera, Livingstone Lusinde alitema cheche kwenye mkutano huo, wakati akieleza kwa nini CCM inaona kwamba mfumo wa serikali mbili katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ndiyo unafaa.
Mjane wa Muasisi wa Mapinduzi ya Zanzibar, Sheik Abeid Amani Karume, Mama Fatuma Karume akizungumza kwenye mkutano huo.
Baadhi ya wananchi wakijikinga na mvua kwa miavuli wakati wa mkutano huo, huku wengine wakiendelea kusikiliza hotuba za viongozi kwenye mkutano huo bila kuhofia mvua hiyo.
Wananchi wakishangilia huku wakionyesha kuunga mkono msimamo wa CCM wa kutaka mfumo wa serikali mbili katika katiba mpoya, wakati wa mkutano huo.
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akihutubia mamia ya wananchi kwenye Viwanja vya Kibanda Maiti, mjini Zanzibar, Mei 4, 2014. Kueleza kwa nini CCM inawataka Watanzania kuingunga mkono msimamo wake wa kutaka mfumo wa serikali mbili ndani ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar baada ya mchakato wa Katiba mpya.