Kinana Katika Futari ya Mtemvu Dar

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akiongozana na Mtemvu (kushoto) kuingia ukumbini, kwenye futari iliyoandaliwa na Mbunge wa Temeke, Abbas Mtemvu.

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akiendelea kupata chai na wenzake kwenye futru hiyo. Kulia ni Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Kinondoni, Salum Madenge, akifuatiwa na Mtemvu.

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana (wapili kushoto) akifuturu na viongozi wengine waalikuwa. Kushoto ni Mbunge wa Temeke, Abbasi Mtemvu na Watatu kushoto ni Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Dar es Salaam, Ramadhani Madabina akifuatiwa na Sheikh Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Alhad Juma Kassim.

Sheikh Ali (kushoto) kutoka Ofisi ya Mbunge wa Temeke, Abbas Mtemvu akishiriki kufuturu futari hiyo huku akiwa meza moja na wadau wengine walioalikwa.

Akina mama wakiendelea kupata futari iliyoandaliwa na Mbunge wa Temeke, Abbas Mtemvu.

Wageni mbalimbali wakiendelea kupata futari iliyoandaliwa na Mbunge wa Temeke, Abbas Mtemvu.