Kinana Aendelea Kuchanja Mbuga Ziarani…!

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akishiriki kufyatua matofal, alipotembelea mradi wa vijana wajasiriamali wa kikundi cha ufyatuaji matufali kwa teknolojia ya kisasa katika jimbo la Kilolo wilayani Kilolo mkoani Iringa.

Kinana akizungumza na vijana hao kabla ya kushiriki ufyatuaji matofali. Kulia ni Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye anayefuatana na Kinana kwenye ziara hiyo ya mkoa wa Iringa.

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akiwa na mwenyeji wake, Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Kilolo, Seth Mwamoto baada ya kuwasili katika Jimbo la Kilolo katika ziara yake. 

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akihutubia wananchi kwenye viwanja vya zahanati ya Kijiji cha Utengule kata ya Ihimbo, kabla ya kukagua ujenzi wa zahanati hiyo, kwenye jimbo la Kilolo, Wilaya ya Kilolo mkoani Iringa.