Kim Kardashian na Kanye West Wamepata mtoto wa kiume

Kim-kardashian-kapata-mtoto-wa-kiumeKim Kardashian na Kanye West wamekaribisha mpya kwenye ukoo wa Kardashian jana asubuhi, wanandoa hao walitangaza. Ni mtoto wa pili kwa Kim na Kanye, Kama unakumbuka walifunga ndoa Mei 2014 baada ya miaka kadhaa ya uchumba. Mtoto wao wa kwanza, binti North West, alizaliwa mwezi Juni 2013.

Wanandoa bado hawajachagua jina la mtoto lakini kwa mujibu wa vyombo vya habari kijamii ambavyo vimekuwa vikihisi kuwa watachagua jina linaloendana na North, kama Easton au South. Hongera Kim na Kanye West