Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kilimanjaro,Kamishna Msaidizi Mwandamizi,Wilbroad Mutafungwa akitaja majina ya watu wanadaiwa kujihusisha na usafirishaji, uuzaji na matumizi ya dawa za kulevya.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kilimanjaro,Wilbroad Mutafungwa akinyunyiza marashi juu ya Mirungi iliyofungwa katika vipande vya magazeti ikiwa ni mbinu mpya inayotumiwa na wasafirishaji wa bidhaa hizo.
Na Dixon Busagaga
JESHI la Polisi mkoa wa Kilimanjaro limetaja majina ya watu 47 wanaotuhumiwa kuhusika
katika kusafirisha, kuuza na kutumia dawa za kulevya huku likifanikiwa kukamata misokoto 269 na miche 13 ya Bhangi, pamoja na kilogramu 32.9 za mirungi pia ikikamatwa.
katika kusafirisha, kuuza na kutumia dawa za kulevya huku likifanikiwa kukamata misokoto 269 na miche 13 ya Bhangi, pamoja na kilogramu 32.9 za mirungi pia ikikamatwa.
Kukamatwa kwa watuhumiwa hao pamoja na dawa hizo za kulevya kunatokana na msako mkali uliofanywa na kikosi maalumu cha jeshi hilo kwa muda wa siku nne katika maeneo
mbalimbali ya mkoa wa Kilimanjaro.
mbalimbali ya mkoa wa Kilimanjaro.
Akitangaza majina hayo ofisini kwake, Kamanda wa Polisi mkoa wa Kilimanjaro ,Kamishna
Mwanadamizi Msaidizi wa Polisi,Wibroad Mutafungwa alisema watuhumiwa hao tayari
wamekamatwa na wako katika hatua mbalimbali za kiupelelezi na taratibu zikikamilika watafikishwa mahakamani.
Mwanadamizi Msaidizi wa Polisi,Wibroad Mutafungwa alisema watuhumiwa hao tayari
wamekamatwa na wako katika hatua mbalimbali za kiupelelezi na taratibu zikikamilika watafikishwa mahakamani.
Miongoni mwa watuhumiwa 47 wamo watoto wawili waumri wa miaka 17 ambao ni Wilfred
Mnubi mkazi wa Bomang’ombe wilaya ya Hai na Ruben Bakari mkazi wa Njoro katika
manispaa ya Moshi.
Mnubi mkazi wa Bomang’ombe wilaya ya Hai na Ruben Bakari mkazi wa Njoro katika
manispaa ya Moshi.
Kati ya watuhumiwa hao wanawake ni 15 na wanaume ni 32 akiwemo mzee mwenye umri wa
miaka 60, Christina Ferdinand.
miaka 60, Christina Ferdinand.
“Vita hii tumeianza tangu mwaka juzi, tunajua vita hii ni kubwa bahati nzuri ni kwamba
njia wanazotumia wafanyabiashara wa dawa za kulevya husani mirungi na bhangi, tayari jeshi la polisi limezibaini, maeneo ambayo dawa za kulevya zimekithiri Jeshi la polisi limekwisha baini, operesheni hii ambayo tumeianza ni endelevu na tutaendelea kuwakamata watu hawa kwa kutumia mbinu zote tulizonazo.” alisema Mutafungwa

Waliotajwa na kushikiliwa na jeshi la Polisi ni pamoja na:
(1)
Juma
Kabwele(25).
Juma
Kabwele(25).
(2)
Mohaed
Kabwele (29) .
Mohaed
Kabwele (29) .
(3)
Shabani
Mponda(39).
Shabani
Mponda(39).
(4)
Khadija
Mushiri(27).
Khadija
Mushiri(27).
(5)
Veronika
Chuwa (39).
Veronika
Chuwa (39).
(6)
Mwanahamis
Hussein.
Mwanahamis
Hussein.
(7)
Yusuph
Issa(42).
Yusuph
Issa(42).
(8)
Salim
Massawe(48).
Salim
Massawe(48).
(9)
Hadija Mohamed(50).
Hadija Mohamed(50).
(10)
Shenein
Abilah(41).
Shenein
Abilah(41).
(11)
Husna
Mgonja(24).
Husna
Mgonja(24).
(12)
Najima
Desouza (46) .
Najima
Desouza (46) .
(13)
Ruben
Bakari (17) .
Ruben
Bakari (17) .
(14)
Paul
Kisoka (26).
Paul
Kisoka (26).
(15)
Raphael
Mbuya (40).
Raphael
Mbuya (40).
(16)
Wilfred
Mnubi(17).
Wilfred
Mnubi(17).
(17)
Athuman
Swaehe (35).
Athuman
Swaehe (35).
(18)
Joseph
Hamis(20).
Joseph
Hamis(20).
(19)
Zuber
Temu(27).
Zuber
Temu(27).
(20)
Robert
Kitika (18) .
Robert
Kitika (18) .
(21)
Mohamed
Juma (25).
Mohamed
Juma (25).
(22)
Ahmad Shaban (57).
Ahmad Shaban (57).
(23)
Donas
Masashua(22).
Donas
Masashua(22).
(24)
Japhet
Tungai (46).
Japhet
Tungai (46).
(25)
Asima
Mndeme (24).
Asima
Mndeme (24).
(26)
Muutaz
Zalia ,
Muutaz
Zalia ,
(27)
Noah
Singano (29).
Noah
Singano (29).
(28)
Ramadhan
Masale (40) .
Ramadhan
Masale (40) .
(29) Kirambati
Swai(45).
Swai(45).
(30) Said
Mrii.
Mrii.
(31) Erick
Henry (20).
Henry (20).
(32) Seif
Ally(20).
Ally(20).
(33) Ramadhan Hassan (36).
(34) Victor
John(22).
John(22).
(35) Upendo Endkia (42).
(36) Asia
Ally(39).
Ally(39).
(37) Catherine
Linusi (36) .
Linusi (36) .
(38) Mariam
Hemed (44) .
Hemed (44) .
(39) Mwajuma
Msuya (48).
Msuya (48).
(40) Juma
Yusuph (22) .
Yusuph (22) .
(41) Hussein
Anyokisye (17).
Anyokisye (17).
(42) Musa
Msangi (30).
Msangi (30).
(43) Ramadhani
Hassan (36).
Hassan (36).
(44)
Wilfred
Munubi(17)
Wilfred
Munubi(17)
(45) Ruben Bakar.(17)
(46) Christina
Ferdinand.(60)
Ferdinand.(60)
(47) Samweli
Kingai(42).
Kingai(42).
Mwisho