Mkali wa miondoko ya kipwani kutoka Zanzibar AT akifanya vitu vyake sambamba na wanenguaji wake wakati wa tamasha la Washindi wa Tuzo za Kilimanjaro “Kili Music Award Winners Tour” iliyofanyika katika uwanja wa Umoja mjini Mtwara.
Chipukizi wa 3 wa Mtwara waliokuwa wakichuana kutafuta mmoja atakaeenda Kurecord jijini Dar es Salaam kwa udhimi wa Kilimanjaro Lager
Mkongwe wa Taarab, Bi Hadija Kopa akitumbuiza jukwaani na kukonga nyoyo za wakazi wa Mwambao wa Pwani ya Bahari ya Hindi Mkoani Mtwara kwa vibao vyake kadhaa ambavyo vimempa tuzo ya Kili Music Award 2012
Shangwe za kumshangilia Chipukizi ambaye ni kipaji kipya cha Kili Music Award kutoka Mtwara