Kilele cha Maadhimisho ya Miaka 49 ya Mapinduzi ya Zanzibar

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti
wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akikagua gwaride la Vikosi
vya ulinzi katika kilele cha sherehe za kutimiza Miaka 49 ya Mapinduzi
Matukufu ya Zanzibar, zilizofanyika leo katika uwanja wa Amaan Studium
Mjini Unguja.{Picha na Ramadhan Othman,IKULU.]

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Viongozi wakati alipomaliza
kukagua gwaride la Vikosi vya ulinzi katika kilele cha sherehe za
kutimiza Miaka 49 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, zilizofanyika leo
katika uwanja wa Amaan Studium Mjini Unguja.{Picha na Ramadhan
Othman,IKULU.]

Baadhi ya viongozi na wageni waalikwa wakiwa katika kilele cha sherehe za kutimiza Miaka 49 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, zilizofanyika leo katika uwanja wa Amaan. Picha kwa Hisani ya Ofisi ya Waziri Mkuu Tanzania.