
Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akiwa meza kuu na Rais wa Zanzibar Dk. Mohamed Ali Shein, Makamu Mwenyekiti wa CCM (Visiwani) na Rais mstaafu wa Zanzibar Dk. Amani Abeid Karume, Rais mstaafu wa awamu ya Pili Alhaj Ali Hassan Mwinyi, Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara), Pius Msekwa na Katibu Mkuu wa CCM, Wilson Mkama kabla ya kuanza kwa Mkutano wa Halmashauri Kuu leo katika jengo la White House la Makao Makuu ya chama hicho mjini Dodoma Februari 12, 2012