Kikwete ampongeza askofu Ndimbo wa Mbinga

Rais Dr. Jakaya Kikwete akimpongeza Mhashamu John Ndimbo, askofu mpya wa Jimbo Katoliki Mbinga wakati wa ibada ya kumsimika askofu huyo iliyofanyika katika Kanisa la Mtakatifu Kilian mjini Mbinga jana (Picha na Freddy Maro)