Kikwete Amaliza Ziara China na Vietnam, Arejea Dar

Rais Dk Jakaya Mrisho Kikwete akiagwa na wenyeji wake katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Noi Bai jijini Hanoi tayari kuanza safari ya kurejea nyumbani baada ya kuhitimisha ziara yake ya siku sita nchini China na Vietnam Oktoba 28, 2014

Rais Dk Jakaya Mrisho Kikwete akiagwa na wenyeji wake katika
uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Noi Bai jijini Hanoi tayari kuanza
safari ya kurejea nyumbani baada ya kuhitimisha ziara yake ya siku
sita nchini China na Vietnam Oktoba 28, 2014

Rais Dk. Jakaya Mrisho Kikwete akisindikizwa na wenyeji wake katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Noi Bai jijini Hanoi tayari kuanza safari ya kurejea nyumbani baada ya kuhitimisha ziara yake ya siku sita nchini China na Vietnam Oktoba 28, 2014.

Rais Dk. Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika Mhandisi Christopher Chiza (wa pili kushoto), Mbunge wa Ilala na Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mussa Azzan Zungu (kulia), Mbunge wa Tumbe, Rashid Ally Abdallah (kushoto) na Balozi wa Tanzania nchini China Luteni Jenerali (Mst.) Abdulrahman Shimbo muda mfupi kabla ya kuanza safari ya kurejea nyumbani baada ya kuhitimisha ziara yake ya siku sita nchini China na Vietnam jijini Hanoi Oktoba 28, 2014.

Rais Dk. Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika Mhandisi Christopher Chiza na Balozi wa Tanzania nchini China Luteni Jenerali (Mst.) Abdulrahman Shimbo katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Noi Bai jijini Hanoi tayari kuanza safari ya kurejea nyumbani baada ya kuhitimisha ziara yake ya siku sita nchini China na Vietnam jijini Hanoi Oktoba 28, 2014.