Kikwete Afunga Maadhimisho Miaka 50 ya JWTZ Monduli

Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete, Makamu wa Pili wa Rais Wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi na viongozi wengine wakismama kwa nyimbo ya Taifa  wakati wa ufungaji wa zoezi la medani la maadhimisho ya miaka 50 ya JWTZ Monduli, Arusha, Septemba 5, 2014.

Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwapongeza askari wanawake waklioshiriki katika mapambano wakati wa ufungaji wa zoezi la medani la maadhimisho ya miaka 50 ya JWTZ Monduli, Arusha, Septemba 5, 2014. PICHA NA IKULU.

Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete, Makamu wa Pili wa Rais Wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi na viongozi wengine wakipata picha ya kumbukumbu na sehemu ya wapiganaji wakati wa ufungaji wa zoezi la medani la maadhimisho ya miaka 50 ya JWTZ Monduli, Arusha, Septemba 5, 2014

Askari wa kikosi cha mizinga akichukua taswira meza kuu wakati wa ufungaji wa zoezi la medani la maadhimisho ya miaka 50 ya JWTZ Monduli, Arusha, Septemba 5, 2014.

Sehemu ya askari wakitoka katika mapambano wakati wa ufungaji wa zoezi la medani la maadhimisho ya miaka 50 ya JWTZ Monduli, Arusha, Septemba 5, 2014.

Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiangalia madhara ya mapigo ya silaha mbalimbali wakati wa ufungaji wa zoezi la medani la maadhimisho ya miaka 50 ya JWTZ Monduli, Arusha, Septemba 5, 2014