
Mtuhumiwa wa wizi akiomba kusamehewa wakati mtu mwenye hasira akijiandaa kumtupia tofali kichwani ambalo lilimjeruhi vibaya mtuhumiwa huyo
MTUmmoja aliyetuhumiwa kuwa ni mwizi amenusurika kufa baada ya kundi la wananchi wenye asira kumpa kipigo cha maana, katika eneo la Mbezi – Darajani, Kawe mjini Dar es Salaam. Mtu huyo ambaye jina lake halikueza kupatikana mara moja inadaiwa alikutwa akiruka geti kuingia ndani kwenye nyumba ya mkazi mmoja wa eneo hilo. Picha zifuatazo ni baadhi ya matukio wakati mtuhumiwa huyo alipokuwa akipata kichapo kutoka kwa wananchi ‘polisi jamii’.