KENYA na India zimeipiku Tanzania kwa mauzo ya Tanzanite Duniani. Hayo Yamesemwa na Kamishina wa madini Tanzania, Mhandisi Paul Masanja. Kenya Imeingiza Tsh 173 Bilioni and India imeingiza Tsh 509 Bilioni na Tanznia Tsh 38 Bilioni tu.
“Kamishia huyo alienda mbali zaidi na kusema kuna mfanyabishara mkubwa wa madini Mmarekani aliwahi kumuuliza kama kuna mgodi wa madini hayo inchini India”
Maajabu huwa hayaishi, kumbuka hata Mlima Kilimanjaro uko Kenya miaka mingi tu na Tanzanite itakuwa kutoka India kwa miaka mingi inayokuja.
source: Dave