
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Ndugu Abdulrahman Kinana akiwahutubia wananchi katika viwanja vya Sokoni Bombambili mjini Songea leo wakati wa ziara yake ya kikazi katika mkoa wa Ruvuma, akikagua utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya chama cha mapinduzi na kukagua miradi mbalimbali ya maendeleo ikiwa ni pamoja na kuhamasisha wananchi kushiriki shughuli za maendeleo na kuhimiza uhai wa chama.
Katibu wa NEC Itikadi, Siasa na Uenezi akiwahutubia wakazi wa mjini Songea leo kwenye viwanja vya Sokoni Bombambili leo.
Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Ruvuma Bw. Oddo Mwisho akizungumza na wakazi wa Songea leo.
Mmoja wa wasanii akitumbuiza wananchi katika mkutano huo.
Katibu wa NEC Itikadi, Siasa na Uenezi akiwahutubia baadhi ya wananchi waliohudhuria katika mkutano huo leo
Baadhi ya wananchi waliohudhuria katika mkutano huo leo
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza na wanafunzi wa vyuo elimu ya juu vya mjini Songea na walimu katika mkutano uliofanyika kwenye ukumbi wa chuo cha ushirika na biashara.Kulia ni Nape Nnauye Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi
Mmoja wa wanafunzi akitoa kero za wanafunzi hao kwa niaba ya wenzake katika mkutano huo.
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Ndugu Abdulrahman Kinana akisistiza jambo katika mkutano huo.
Baadhi ya wanafunzi wakimsikiliza Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana.
Baadhi ya wanafunzi wakimsikiliza Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana.