Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Eng. John Kijazi akikatibishwa Ofisini kwake na Katibu Mkuu Kiongozi Mstaafu, Balozi Ombeni Sefue, Ikulu Jijini Dar es salaam leo.

Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Eng. John Kijazi akizungumza na Baadhi ya Madereva wa Ikulu, wakati akiwa katika ziara ya kutembelea maeneo mbali mbali ya Ikulu, Jijini Dar es salaam leo.

Makamu wa Rais, Mh. Samia Suluhu Hassan, akimkaribisha Ofisini kwake, Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Eng. John Kijazi, Ikulu Jijini Dar es salaam leo.

Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Eng. John Kijazi, akitembezwa maeneo mbali mbali ya Ikulu Jijini Dar es salaam leo.

Rais wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli (kushoto) akimuapisha Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Eng. John Kijazi leo Ikulu jijini Dar es Salaam.

Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Eng. John Kijazi akizungumza na Baadhi ya Madereva wa Ikulu, wakati akiwa katika ziara ya kutembelea maeneo mbali mbali ya Ikulu, Jijini Dar es salaam leo.

Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Eng. John Kijazi akiwasili Ikulu Jijini Dar es salaam leo.

Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Eng. John Kijazi akifanya Mazungumzo na Katibu Mkuu Kiongozi Mstaafu, Balozi Ombeni Sefue, Ikulu Jijini Dar es salaam leo. Kushoto ni Katibu Mkuu Ikulu, Peter Ilomo.