
Mjumbe wa kamati ya maandalizi ya siku 16 zakupinga ukatili na aliyekuwa Mwenyekiti wa Dawati la Jinsia, Grace Lyimo akizungumza jambo katika kikao cha kamati hiyo na wanahabari.
![]() |
Baadhi ya wajumbe wa kamati ya maandalizi ya uzinduzi wa siku 16 za kupinga ukatili kanda ya Kaskazini. |
![]() |
Baadhi ya waandishi wa habari mkoa wa Kilimanjaro wakifuatilia taarifa juu ya uzinduzi wa siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia. |
![]() |
Baadhi ya waandishi wa habari wakifuatilia taarifa hiyo. Na Dixon Busagaga. |