Karibu Kisiwani Zanzibar…!

Usafiri wa jumuia mjini Zanzibar bado zinatumika gari ‘maarufu’ kama “Chai Maharage” ambazo bodi lake limeandaliwa mahususi kwa ubebaji abiria. Raha ya usafiri huu abiria hukaa kwa kuangaliana tofauti na ilivyo kwa usafiri wa jumuia kwa Jiji la Dar es Salaam na miji ya mikoa mingine mingi ya Tanzania Bara, ambapo hutumika gari maarufu kama ‘daladala’. Angalia picha ya gari la usafiri wa pamoja maarufu kwa jina la ‘daladala’ jijini Dar es Salaam katika picha ifuatayo hapo chini;-

Gari la abiria wa jumuia maarufu kama 'daladala' likiwa limebeba abiria mjini Zanzibar hivi karibuni.