Kampuni ya Africa Internet Group Yaunganisha Makampuni Yake Pamoja

Meneja wa Kaymu Tanzania, Lauritz Elmshauser akizungumza katika mkutano na wanahabari uliofanyika jijini Dar es Salaam kuelezea dhamira na faida ya Makampuni ya Jumia kuungana na kuunda mwamvuli mmoja utakaojulikana kwa jina la Jumia's ecosystem. Kulia ni Meneja wa Kampuni ya Lamudi nchini Tanzania, Pierre Francois na Mkurugenzi Mtendaji wa Jumia Food, Nina Holmes (kushoto).

Meneja wa Kaymu Tanzania, Lauritz Elmshauser akizungumza katika mkutano na wanahabari uliofanyika jijini Dar es Salaam kuelezea dhamira na faida ya Makampuni ya Jumia kuungana na kuunda mwamvuli mmoja utakaojulikana kwa jina la Jumia’s ecosystem. Kulia ni Meneja wa Kampuni ya Lamudi nchini Tanzania, Pierre Francois na Mkurugenzi Mtendaji wa Jumia Food, Nina Holmes (kushoto).

Meneja wa Kampuni ya Lamudi nchini Tanzania, Pierre Francois akizungumza katika mkutano na wanahabari kuelezea dhamira na faida ya Makampuni ya Jumia kuungana na kuunda mwamvuli mmoja utakaojulikana kwa jina la Jumia's ecosystem. Kushoto ni Meneja wa Kaymu Tanzania, Lauritz Elmshauser.

Meneja wa Kampuni ya Lamudi nchini Tanzania, Pierre Francois akizungumza katika mkutano na wanahabari kuelezea dhamira na faida ya Makampuni ya Jumia kuungana na kuunda mwamvuli mmoja utakaojulikana kwa jina la Jumia’s ecosystem. Kushoto ni Meneja wa Kaymu Tanzania, Lauritz Elmshauser.

Meneja wa Kaymu Tanzania, Lauritz Elmshauser akizungumza katika mkutano na wanahabari uliofanyika jijini Dar es Salaam kuelezea dhamira na faida ya Makampuni ya Jumia kuungana na kuunda mwamvuli mmoja utakaojulikana kwa jina la Jumia's ecosystem.

Meneja wa Kaymu Tanzania, Lauritz Elmshauser akizungumza katika mkutano na wanahabari uliofanyika jijini Dar es Salaam kuelezea dhamira na faida ya Makampuni ya Jumia kuungana na kuunda mwamvuli mmoja utakaojulikana kwa jina la Jumia’s ecosystem.

Mkurugenzi Mtendaji wa Jumia Food, Nina Holmes akiwasilisha mada katika mkutano na wanahabari uliofanyika jijini Dar es Salaam kuelezea dhamira na faida ya Makampuni ya Jumia kuungana na kuunda mwamvuli mmoja utakaojulikana kwa jina la Jumia's ecosystem.

Mkurugenzi Mtendaji wa Jumia Food, Nina Holmes akiwasilisha mada katika mkutano na wanahabari uliofanyika jijini Dar es Salaam kuelezea dhamira na faida ya Makampuni ya Jumia kuungana na kuunda mwamvuli mmoja utakaojulikana kwa jina la Jumia’s ecosystem.

Meneja wa Kampuni ya Lamudi nchini Tanzania, Pierre Francois akizungumza katika mkutano na wanahabari kuelezea dhamira na faida ya Makampuni ya Jumia kuungana na kuunda mwamvuli mmoja utakaojulikana kwa jina la Jumia's ecosystem.

Meneja wa Kampuni ya Lamudi nchini Tanzania, Pierre Francois akizungumza katika mkutano na wanahabari kuelezea dhamira na faida ya Makampuni ya Jumia kuungana na kuunda mwamvuli mmoja utakaojulikana kwa jina la Jumia’s ecosystem.

Baadhi ya wageni waalikwa na waandishi wa habari wakifuatilia mkutano wa makampuni ya Jumia na wanahabari uliofanyika jijini Dar es Salaam kuelezea dhamira na faida ya kampuni hizo kuungana.

Baadhi ya wageni waalikwa na waandishi wa habari wakifuatilia mkutano wa makampuni ya Jumia na wanahabari uliofanyika jijini Dar es Salaam kuelezea dhamira na faida ya kampuni hizo kuungana.

Jumla ya kampuni saba zimeungana za Jumia Travel, Jumia Food, Jumia Deals, Jumia House, Jumia Jobs na Jumia Car na kutoka na Jumia’s ecosystem.