Wananchi wakimbeba Sioi Sumari mgombea wa CCM kumpeleka jukwaani kuhutubia mkutano wa kampeni za CCM uliofanyika Kijiji cha Makiba kata ya Makiba, Arumeru Mashariki jana. (Picha zote na Bashir Nkoromo)
Katibu wa NEC, Oganaizesheni CCM, Asha Abdalla akihutubia mkutano wa kampeni uwanja wa mpira wa kijiji cha Makiba.
Nchemba akihutubia Makiba
Shabiki wa CCM wa Kata ya Makiba akishangilia mkutanoni