Kampeni ‘Get Noted’ Kujumuisha Simu, Mitandao ya Kijamii na Matangazo ya Nje

Samsung Electronics Tanzania na Continental Outdoor Media LtdSamsung Galaxy Note 4.
KWA kawaida matangazo ya nje habari huwa na muingiliano wenye kushika hatamu, kuunganisha, matokeo mazuri na ushawishi mkubwa. Hali kadhalika, matangazo ya nje yanapojumuishwa na teknolijia ya kidigitali, mitandao ya kijamii na simu za kiganjani hufanikisha wepesi wa maudhui kufikia wahusika wanapokuwa mbali na makazi yao kwa kuwa njia nyingine sio mbadala kufika huko.

Samsung Electronics Tanzania ikishirikiana na Continental Outdoor Media Ltd wameanzisha kampeni madhubuti inayohusisha matangazo ya nje kukuza mwingiliano wa kijamii ili kuleta uzoefu miongoni mwa watumiaji wa mitandao ya aina yote nchini Tanzania.
Katika kipindi cha muda mfupi, matumizi ya intaneti na simu za kiganjani miongoni mwa wa Watanzania zimekuwa sehemu za maisha ya kila siku. Katika muongo uliyopita, Tanzania, kama nchi nyingine barani Afrika, imeshuhudia ongezeko kubwa la watumiaji wa simu za kiganjani, secta ya mawasiliano ndio ikuayo zaidi.
Inakadiriwa kuwa Tanzania inawatumiaji wa simu za viganjani wapatao milioni 28 hii ina ashiria asilimia (%) 65 ya upenyo wa simu katika soko. Hali kadhalika ongezeko la matumizi ya intaneti katika mwaka 2014 imefikia watumiaji milioni 9.3 ambao ni sawa na asilimia 20. Ongozeko hili limepelekewa jitihada za serikali kuwekeza katika teknolojia ya fiba optiki na mapinduzi katika teknolojia yaliyosababisha kupungua kwa gharama za matumizai ya mitandao ya intaneti.
Mitandao ya kijamii hutumia tovuti na simu za kiganjani kufanya, kubadilisha na kutangaza aina ya madhui yanayotokana na watumiaji. Mathalan, mitandao ya kijamii hushirikisha watumiaji na maudhui na kuburudisha wakati wowote na sehemu yoyote. Jinsi vyombo vya habari vinavyo zidi kukutana na ndivyo muuganiko wa simu za mkononoi unavyoshika hatamu huku ikiendeleza pia matangazo ya nje. Matangazo ya nje yanaibuka kama uwanja muhimu wa kuendeleza mitandao ya kijamii na kampeni za masoko.

Watanzania hutumia zaidi ya asilimia 70 ya muda wao wa kwa muka nje ya nyumbani. Uwezo wa matangazo ya nje kuzunguka na kuvutia wapita njia pamoja na kutumia namna ya kutangaza, inaifanya kuwa mkakati madhubuti kwa social na mobile katika mipango ya kutangazo. Siku zimeenda wakati wa matangazo ya nje yalikuwa yabango tu kila kona unakopita mjini na kidogo katika maeneo ya vijini.
Wakati ikioneka kama namna ya zamani ya kutangaza, vyombo vya habari vya nje ya nyumbani vimekuwa vinavumbulliwa miaka nane iliopita ndani ya Tanzania. Wakati wote tumezoea kuona mabango tukiwa tunapita barabarani, au tunafikiria na kwangalia maduka mapya yaliofunguliwa baada ya kuona promosheni za kwenye mabango ya vituo vya mabasi, vyombo vya habari vya nje vinavyohususha na kuhamasisha wanunuaji kufanya zaidi ya kwangalia tu.
Utambulisho wa teknolojia ya kidigitali katika nafasi ya vyombo vya habari vya nje ya nyumbani umehamisha vyombo kutoka kwa kuonyesha tu matangazo kwenda kwa mfumo wa ushirikiano.
“zamani matangazo ya nje ya nyumbani yalikuwa yanaka sehemu moja na baada y akutabulisha Citilites miaka ya nyuma kidogo, ilirudisha mfumo wa mzunguko kuruhusu wanamasoko kununua watazamaji badala ya maeneo.” Alikumbuka Russell Stuart, Mkurugenzi Mtendaji wa Continental Outdoor Media (T) Ltd. “Wakati wa digitali ni juu yetu sasa na mitazamo inabadilika. Pamoja na mobile and tekinolijia ya kidigitali vyombo vya habari vya nje vinaweza kufikia watazamaji wengi na kuhusisha wanunuaji moja kwa moja kutoka kwenye mabango, mabango kwasasa yalikiwa yanahamasisha ndio mana watu wanafurahia” alisema.
Continental Outdoor inaongoza katika kunyosha barabara za Tanzania na sub-Saharan Africa kwa watumiaji na wanunuaji pamoja na skrini za matangazo ya kidigital. Inaongeza kwa kasi mtandao wao Africa nzima ndani ya viwanja vya ndege, maduka makubwa, na escalators, bar na restaurant, pembezoni mwa barabara wakiwa wamezindua kifaa chao cha Ignite Digital Screens.
“Ignite ni moja mpya ya kipekee kutambulishwa Tanzania ikifuatiwa mafanikio ya Citilites, ambayo kwa sasa zimesambazwa maeneo ya miji mikubwa. Ignite inatupa nafasi kuwa wabunifu kwa uzinduzi wa bidhaa mpya na kutupa thamani ya fedha kwa maeneo mazuri kwa kila sekunde 15 Utambulisho wa uuzaji wa vipande vya siku na uwezo wa vifurushi rahisi viloivyopo inakupa mwanamasoko nafasi ambayo mpaka sasa ilikuwa haipo.” aliongeza Bw. Stuart.
Kampuni ya vifaa vya Kieletroniki vya Samsung nchini Tanzania ilichukua uamuzi wa kutumia luninga za digitali na teknolojia yake.Kampeni hiyo ya selfi ya Get Noted ilitumia luninga za matangazo ya nje kuonyesha wateja wake uwezo mkubwa wa kupiga picha utokanao na simu hiyo mpya ya Samsung Galaxy Note 4.
Hii ni kampenii ya aina yake na ya kwanza kufanyika nchini Tanzania inayotoa mfano bora kwa ubujnifu mzuri wa teknolojia zza kisasa hususan zinapojumuishwa na kutumika kwa pamoja katika kurusha maudhui kutoka katika simu ya kiganjani kwenda kwenye luninga za matangazo ya nje
“Utumiaji wa simu za kisasa zinazounganishwa kwenye mtandaoni inaimarisha zaidi matangazo ya nje. Simu za mkononi zinashika hatamu katika ulimwengu wa kidigitali dhidi ya teknolijia za mezani” anasema Mike Seo, Mkurugenzi Mtendaji wa Vifaa vya Samsung Electronics. “Tunataka kuwaalika wateja wetu wa note 4 na kuwapa nafasi ya kufuruhia na kushea matukio yao mbal mbali ya maisha yao pamoja na ndugu, jamaa na marafiki zao. Sifa za simu ya note ikiwemo S pen, na kamera yenye uwezo wa kukamata matukio muhimu ya mtumiaji wa Note atakayoweza kuwashirikisha awapendao”. Selfi hizo pia, ziliwekwa kwenye ukurasa wa mtandao wa kijamii wa Facebook ili kuongeza uelewa zaidi wa kutumia njia za kisasa zaidi katika kuelimisha jamii kwa kasi.
Kuhusu Vifaa vya kielektroniki vya Samsung
Teknolojia ya Samsung inatumiwa na watu takribani 236,000 katika nchi 79, inaleta mabadiliko na kuiwezesha dunia kuingia kwenye teknolojia mpya na matumizi ya smart phone, luninga, air-conditioner, vifaa vya nyumbani vya kieletroniki, kamera, na vifaa vya maofisini kama kompyuta na printers ambavyo vina teknolojia ya hali ya juu kukidhi mahitaji ya wateja. Kujifunza mengi zaidi, tembelea www.samsung.com na www.facebook.com/SamsungMobileTanzania