Kaimu
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlakaya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), Mhandisi Aloyce
Matei, akitoa ufafanuzi kuhusu namna Kamera zinazoendelea kufungwa katika Bandari
hiyo kwa Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Miundombinu, waliotembelea Mamlaka hiyo
.

Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari
Tanzania (TPA), Mhandisi Aloyce Matei, akiwaonyesha Wajumbe wa Kamati ya Bunge
ya Miundombinu eneo itakapo jengwa gati ya 13 na 14.

Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Kupakia na Kupakua Mizigo
Bandarini (TICTS), Paul Wallace akiwaeleza Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Miundombinu
namna kampuni hiyo inavyohudumia makontena katika bandari ya Dar es Salaam.

Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano,
Sehemu ya Uchukuzi, Dk. Leornard Chamuriho akitoa taarifa ya namna Wizara inavyosimamia
Mamlaka zilizo chini yake, wakati Kamati ya Bunge ya MIundombinu, ilipo tembelea
Mamlaka ya Bandari (TPA).